TAKUKURU yabaini rushwa ya ngono kutawala katika upangaji wa vituo vya kazi vya walimu

Kwa hii nchi ilipofika, inabidi kila mzazi mwenye mtoto wa kike ajitahidi juu ya uwezo wake kumjengea uwezo wa kimawazo na kifedha pia ili kumuepusha na hizi changamoto zilizopo hasahasa kwenye vitu kama rushwa ya ngono
Hata wanaume mbna, au kwa kuwa hawasemi?
 
Kwamba walimu wanagawa sana nyapu akina to yeye huku wamevalia shanga 20 kiunoni! Na wanapenda sana doggy style huku mguu mmoja wameunyanyua juu!
Sasa na dogstyle nanyanyuaje mguu juu mkuu,embu nifundishe pia please
 
Mimi kama mwanamke nasema rushwa ya ngono imeletwa na wanawake wenzetu ambao asilimia kubwa wanaona bora watumie miili yao kuliko kutumia akili au kuhangaika kutafuta kazi. Na wanajua wahitaji (wanaume) wapo kibao wanahitaji.

Lakini hata kwenye biashara hata demand iwe kubwa vipi, kama supply haipo basi itabidi wenye demand waangalie njia mbadala. Sasa wanawake asilimia kubwa sana wamejirahisi kiasi kwamba wasiotoa hiyo rushwa wanaumia na wanaume wanakazia palepale maana wana uhakika wa kupata ngono.

Laiti kama silimia kubwa ya wanawake wangeamua kukaza hizo sehemu zao na wakatumia akili kupata kazi haya yote yasingekuwepo. So waomba ngono wasilaumiwe sana. Wanafanya hivo kwakuwa system ya wanawake wengi kujirahisi imewazoesha.
 
Kuna wale madogo wanaitwa maafisa utumishi wanajigongea waalimu wenye misambwanda mpaka nawaonea wivu. Hakuna watu laini kama waalimu wa kike yaani akiwa na shida ni rahisi mno kutoa mzigo 😂
 
Kuna wale madogo wanaitwa maafisa utumishi wanajigongea waalimu wenye misambwanda mpaka nawaonea wivu.....hakuna watu laini kama waalimu wa kike yaani akiwa na shida ni rahisi mno kutoa mzigo [emoji23]
Tembo anaponzwa na mkonga..acha misambwanda iliwe..maisha yenyewe ndio haya haya...kesho hakuna aijuaye.


#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una ulimbukeni mwingi saana,kwahiyo kwako weupe ni uzuri [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Ushawahi kuwa na manzi mweupe ndani halafu avue nguo abaki naked..!!.
Yaani ule weupe wa asili, wanakuaga na vitumbua vitamuuu..!!

#YNWA
 
Baada ya kugundua uhalifu chombo cha dola kinachukua hatua gani!!! Kututangazia ktk media badala ya kuwanasa wahalifu!! Gross misuse of taxpayers hard earned monies.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…