Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Kigoma, imebaini baadhi ya wagombea wa uchaguzi wa serikali za mitaa kutumia rushwa ya fedha na nguo kwa kuwapatia wananchi nyakati za usiku wakitembea nyumba kwa nyumba huku baadhi ya wagombea wakilazimika kukimbia ili wasikamatwe wakati wa kudhibiti vitendo vya rushwa.
Naibu Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Kigoma John Mgallah, ametoa ufafanuzi kuhusu mienendo ya wagombea na kubaini kutoa rushwa nyakati za usiku, wakitembelea nyumba kwa nyumba.
Naibu Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Kigoma John Mgallah, ametoa ufafanuzi kuhusu mienendo ya wagombea na kubaini kutoa rushwa nyakati za usiku, wakitembelea nyumba kwa nyumba.