Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Ofisi ya TAKUKURU wilaya ya hanang' mkoani Manyara inamshikilia Patrick Joackimu Kauky@Gauensi Joackimu Kauki baada ya kubainika kuweka madirisha yaliyo chini ya kiwango katika ujenzi wa Ikulu ndogo unaoendelea wilayani Hanang'.
Uchunguzi wa TAKUKURU ulibaini kuwa mzabui hyo alipewa zabuni ya kutengeneza madirisha ya alminium na ofisi ya manunuzi ya mkoa wa Manyara katika Ikuli ndogo wilayani Hanang', uchunguzi ulibaini kuwa mzabuni huyo alipewa zabuni hiyo kinyume cha sheria ya manunuzi ya UMMA.