Mzee wa Usafi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2008
- 644
- 292
CCM wote ni watoa na wapokea rushwa, hakuna chaguo la Mungu hata mmoja.PCCB endeleeni :fish2: wote hadi waishe tunataka uchaguzi safi mwaka huu
CCM wote ni watoa na wapokea rushwa, hakuna chaguo la Mungu hata mmoja.
hakuna lolote hapa. Kinachofanyika ni kukamata watu wote ambao si wanamtandao ili wasirudi bungeni ngwe ijayo. Simpendi Mrema kama Mbunge maana hajafanya lolote Arusha, lakini Batilda anatoa rushwa nje nje wala hakamatwi. Na wala hutasikia Chenge, Karam,gi nk wamekamatwa. Watakamatwa akina Selelii, Sita, Mwakyembe nk ili tu wasipate haki tena. Hiyo ndiyo kazi ya TAKUKURU.... poleni Wa TZ.
Ni hisia tu. TAKUKURU sio mtu mmoja, wapo wanaowajibika na pia wapo wazembe. Wale ambao wamewajibika ipasavyo tuwapongeze kwani wamefanya. Wazembe tuwasaidie wawajibike, au kusanyeni ushahidi na muuweke hapa ili tuwasaidie wakuu wao kuwawajibisha watendaji wao wazembe.hakuna lolote hapa. Kinachofanyika ni kukamata watu wote ambao si wanamtandao ili wasirudi bungeni ngwe ijayo. Simpendi Mrema kama Mbunge maana hajafanya lolote Arusha, lakini Batilda anatoa rushwa nje nje wala hakamatwi. Na wala hutasikia Chenge, Karam,gi nk wamekamatwa. Watakamatwa akina Selelii, Sita, Mwakyembe nk ili tu wasipate haki tena. Hiyo ndiyo kazi ya TAKUKURU.... poleni Wa TZ.
atakamatwa hila hatafikishwa popote TAKA KURU Hamuna kitu wawapeleke mahakamani ndo tutaamini
hakuna lolote hapa. Kinachofanyika ni kukamata watu wote ambao si wanamtandao ili wasirudi bungeni ngwe ijayo. Simpendi Mrema kama Mbunge maana hajafanya lolote Arusha, lakini Batilda anatoa rushwa nje nje wala hakamatwi. Na wala hutasikia Chenge, Karam,gi nk wamekamatwa. Watakamatwa akina Selelii, Sita, Mwakyembe nk ili tu wasipate haki tena. Hiyo ndiyo kazi ya TAKUKURU.... poleni Wa TZ.
PCCB endeleeni :fish2: wote hadi waishe tunataka uchaguzi safi mwaka huu
King, si unajua mashtaka ni mchakato? Ni kweli ili tuamini, tuone hatua za juu zaidi zimefikiwa. Hili la kuhusisha vyombo vya habari ni kitanzi kwao, wakiwaachia tutapoteza imani iliyoanza kurudi. wana wajibu wa kuendelea na kurudisha na kulinda hadhi yao iliyopotea
ni kweli VA then wanasema eti wanawekwa chini ya ulinzi kwa mahojianoKama CCM wako serious kwa nini anayekamatwa asiondolewe mara moja kwenye mchakato wa wagombea?