TAKUKURU yaokoa sh bilioni 12 zilizotaka kufisadiwa ujenzi wa stendi ya mkoani Mbezi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
TAKUKURU wameokoa zaidi ya sh bilioni 12 zilizokuwa zilipwe kwa mkandarasi anayenga stendi kuu ya mabasi ya mikoani. Fedha hizo zilikuwa zilipwe kwa kazi ambayo haikufanyika

Ujenzi wa stendi hiyo ulianza wakati halmashauri ya jiji la DSM inaongozwa na CHADEMA.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mleta mada taratibu, Tupe kwa ufupi mchakato zabuni, nani msimamizi na mkaguzi mradi, nani mhandisi mshauri nani mlipaji wa mradi.
 
Hizi ni propaganda yaani miaka mitano na sasa huu wa sita ni usaniiiiiii na bado hamtakiwi
 
TAKUKURU wameokoa zaidi ya sh bilioni 12 zilizokuwa zilipwe kwa mkandarasi anayenga stendi kuu ya mabasi ya mikoani. Fedha hizo zilikuwa zilipwe kwa kazi ambayo haikufanyika

Ujenzi wa stendi hiyo ulianza wakati halmashauri ya jiji la DSM inaongozwa na CHADEMA.

Maendeleo hayana vyama!
Kazi ipi hiyo ambayo haijafanyika?
 
TAKUKURU wameokoa zaidi ya sh bilioni 12 zilizokuwa zilipwe kwa mkandarasi anayenga stendi kuu ya mabasi ya mikoani. Fedha hizo zilikuwa zilipwe kwa kazi ambayo haikufanyika

Ujenzi wa stendi hiyo ulianza wakati halmashauri ya jiji la DSM inaongozwa na CHADEMA.

Maendeleo hayana vyama!
Kazi ya Makonda
 
ni nani(kampuni) aliyekuwa mzabuni wa karandasi hiyo?
ww n mzalendo wa kweli
 
Back
Top Bottom