Kwa mujibu wa sheria iliyoanzisha Takukuru Wanaweza kumuita na kumhoji mtu yoyote wanayeamini/fahamu kuwa anafahamu mambo fulani so wale kuropoka yale waliyoropoka means wako aquatinted with na hayo mambo
Gazeti hili ni kinara la kuwatoa kwenye reli kuacha kujadili mambo muhimu.
Eti TAKUKURU, tangu lini mijadala ya bunge kupelekea mbunge kuchukuliwa hatua.