Hawa Wajumbe wa TAKUKURU wanasaidia nini nchi yetu ?Hawa wanakula kuku tu huko Mwanza na kutumia taxpayers money bila sabau.
Niambieni tangu skandali za Meremeta,BoT towers,Richmond,Radar saga,Mkapa family na corruption akiwa Rais na mengineo kuhusu mikataba ya madini,ni nani ameshakuwa convicted
na kwenda gerezani?Patel,Vithlani wanachekelea uhondo wa pesa za walala hoi!
Kama Bunge letu lingekuwa sahihi,hii Taasisi inatakiwa kuvunjwa mara moja.Badala yake Bunge,Mahakama zichukue msimamo mkali,na hasa DPP ,lakini naye ndio hivyo tu.
Tumekwisha!