Takwimu: Ajali za pikipiki zinatisha

Takwimu: Ajali za pikipiki zinatisha

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,106
Reaction score
8,043
Idadi ya majeruhi wa ajali za pikipiki wanaopelekwa katika taasisi ya mifupa Muhimbili (MOI) imeongezeka hadi kufikia 20 mpaka 26 kwa siku, sawa na asilimia 50 ya majeruhi wote wanaopelekwa katika taasisi hiyo.

Chanzo: Nipashe
 
Ni janga la taifa,nawaonea huruma sana wadada wao huzipenda sana bodaboda hata wakati ambapo daladala vituoni hazina mbanano wao huona wanachelewa!
 
Ni janga la taifa,nawaonea huruma sana wadada wao huzipenda sana bodaboda hata wakati ambapo daladala vituoni hazina mbanano wao huona wanachelewa!

Waathirika wengi ni wanaume ingawa madada ndio hutumia sana bodaboda. Madada waoga na wanakuwa na mtu wao maalum wa kuwapeleka watakako kwa mwendo wanaopenda wao madada. Wanaume wengi huwa wanajidai wana haraka na hawaogopi hivyo kudandia bodaboda yoyote anayoiona!
 
hivi kuna chuo/vyuo nchini vinavyotoa mafunzo rasmi ya udereva wa pikipiki kama vile vilivyo vya mafunzo ya udereva wa magari??
 
Back
Top Bottom