Idadi ya majeruhi wa ajali za pikipiki wanaopelekwa katika taasisi ya mifupa Muhimbili (MOI) imeongezeka hadi kufikia 20 mpaka 26 kwa siku, sawa na asilimia 50 ya majeruhi wote wanaopelekwa katika taasisi hiyo.
Waathirika wengi ni wanaume ingawa madada ndio hutumia sana bodaboda. Madada waoga na wanakuwa na mtu wao maalum wa kuwapeleka watakako kwa mwendo wanaopenda wao madada. Wanaume wengi huwa wanajidai wana haraka na hawaogopi hivyo kudandia bodaboda yoyote anayoiona!