Takwimu: Gamondi amzidi Nabbi.

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Ukiangalia takwimu za Yanga msimu uliopita 2022/23 chini ya Nabi katika mechi 15 za mwanzo wa msimu, zinazidiwa na Yanga hii chini ya Miguel Gamondi.

Takwimu hazidanganyi.

YANGA 2022/23 - RAUNDI YA KWANZA, CHINI YA NABI

Michezo: 15
Ushindi: 12
Kufungwa: 1
Suluhu: 2
Pointi: 38
Goli za Kufunga: 27
Goli za Kufungwa: 8
Tofauti ya Magoli: 19
Clean Sheet: 9

YANGA 2023/24 RAUNDI YA KWANZA CHINI YA GAMONDI

Michezo: 15
Ushindi: 13
Kufungwa: 1
Suluhu: 1
Pointi: 40
Goli za Kufunga: 36
Goli za Kufungwa: 8
Tofauti ya Magoli: 28
Clean Sheet: 9

Takwimu zinaongea.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Wote ni makocha wa Yanga ila Nabi alikua na mazingira magumu ya kutengeneza timu na kuwafanya wachezaji wajiamini.

Gamond ana kazi ya kuwafanya wachezaji wasijiamini kupita kiasi na kui imarisha timu.
Yotekwayote Mataji ndio mpango mzima.
 
Kweli kabisa

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Itakuwaje mkiishia makundi CCL na mkashindwa kuchukua ubingwa wa NBC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…