escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
msimu ujao over 0.5 ni kama kumsukuma mlevi tuKwamba over 0.5 ni uhakika, akiamka vibaya mpaka over 3.5 anatoa bila wasi.
Nitakula nao sahani moja msimu ukianzamsimu ujao over 0.5 ni kama kumsukuma mlevi tu
kama hali hii itaendelea tatizo linakuwa ili yanga tushinde au kudroo inabidi tuwe na uhakika wa kufunga angalau bao 2 kila mechi kuziba mapengo.Unachozungumza inaweza kuwa ni sahihi lakini kwa wajuao mpira tumeona mpaka sasa amefsnya saves nyingi sana tena za one against one. Na magoli yametokana makosa ya mabeki wake wanaogezwa kama chapati
Ina maana wewe ndio unajua kumchambua Diarra kuliko kocha wa timu ya Taifa ya Mali (ambayo ni timu bora ya taifa namba 9 africa).?Huyu kipa ni Ovyo kweli, Metacha was a good goalkeeper, ila kiburi chake tu ndio tatizo. Huyu wa mishale hata simuelewi kabisa
Ubora wa Kipa sio idadi ya magoli aliyo fungwa.asante kwa uchambuzi makini ila kipa ndo aachwe kufungwa kila mechi sasa, vinginevyo tutakuwa kama hizo timu.
Nina la kusema basi? yamenishuka sina hamu.Tupe mrejesho mleta uzi
app gani hii mkuuLogic ya mleta mada iko hivi. Kama yanga atanarajiwa kumaliza ligi akiwa amefungwa magoli 30 basi ni sawa na kusema Yanga SC itamaliza chini ya nafasi 7 katika msimamo wa Ligi 2021/22.
Kwa Yanga SC hii ya Djuma, Makambo, feisal, Aucho, Mukoko, Diarra yaani imalize chini ya nafasi 7 ktk msimamo.
View attachment 1948575
Hapo juu ni picha ikionyesha alama nyekundu ambazo ni nafasi za timu zilizo concede magoli kuanzia 30.
Asante Kwa Uchambuzi.
🤣🤣Kwa mujibu wa takwimu zinazotolewa na wachambuzi mbalimbali hapa nchini zinaonesha Mdaka Mishale huyu hajawahi kuonja utamu wa clean sheet tangu atue jangwani.
Ni sawa na kusema uwepo wa Diarra golini unafanya aliyebet OVER 0.5 kuweka dau la Milioni moja huku anachekelea.
Hivyo kwa haraka haraka ni kwamba kwenye ligi, Yanga tutafungwa magoli yasiyopungua 30 msimu ujao maana tutacheza mechi 30 za ligi.