Takwimu kidogo

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,904
Reaction score
4,902
Mechi 6 za mwisho kat ya Yanga na Al ahly.

Kwetu Yanga 0 - 0 Al ahly.

Kwao Al Ahly 2 - 0 Yanga

Taifa Yanga 1-0 Al Ahly

Kwao Al Ahly 1 - 0 Yanga , tukatolewa kwa matuta 5 - 4. Apo Al ahly alitoka kuchukua ubingwa wa africa. Yan alikuwa bingwa mtetezi.

Taifa Yanga 1 - 1 Al Ahly

Kwao Al Ahly 2 - 1 Yanga . Ahly walipata goli dakika ya 88 hawakuamini had mashabiki waliingia uwanjani na wachezaj walivua mashat km wamechukua kombe wakat ata mechi bado haijaisha.

Sasa nyny wenzetu kulikoni au mlienda mmekwama wapi[emoji2978][emoji2978][emoji2978][emoji2809][emoji2809]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la mikia ni umri mkubwa kwa wachezaji wao..average 30 yrs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…