Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Kwa maana hii mtalii akienda Kilimanjaro, Mikumi nk wanahesabika ni zaidi ya mtalii mmoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mtazamo wangu it's ok ili kupata namba sahihi ya watalii wa sehemu usika ila inapokua n majumuisho ya jumla watalii waliokuja kwa mwaka wale wanaojirudia huwa hawaesabiwi zaidi ya mara moja, mfano mtalii katoka klm kaenda ngorongoro alafu akaondokea zanzibar huyo ataongeza idadi katika kila kituo alichotembelea ila kwa ujumla anachukuliwa mara moja kwenye kuesabu.View attachment 2167851
Kwa maana hii mtalii akienda Kilimanjaro, Mikumi nk wanahesabika ni zaidi ya mtalii mmoja.
kama kwa ujumla anahesabiwa mara moja hapo ni sawa, maana tunaweza sema kwa mwaka wameingia watalii laki nane Tanzania bara kumbe wengine namba zimejirudia.Kwa mtazamo wangu it's ok ili kupata namba sahihi ya watalii wa sehemu usika ila inapokua n majumuisho ya jumla watalii waliokuja kwa mwaka wale wanaojirudia huwa hawaesabiwi zaidi ya mara moja, mfano mtalii katoka klm kaenda ngorongoro alafu akaondokea zanzibar huyo ataongeza idadi katika kila kituo alichotembelea ila kwa ujumla anachukuliwa mara moja kwenye kuesabu.
Tatizo sisi wabongo ujuaji mwingi hawawezi kuchukua hesabu ambazo sio maana kuna mengi kama kuandaa bajet kwa ajili ya kuendeleza mradi n.kkama kwa ujumla anahesabiwa mara moja hapo ni sawa, maana tunaweza sema kwa mwaka wameingia watalii laki nane Tanzania bara kumbe wengine namba zimejirudia.