Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
MICHEZO: Wakati Ligi kuu Soka Tanzania bara ikisubiriwa kurejea mwanzoni mwa mwezi Februari baada ya michuano ya CHAN2024 kushindwa kufanyika mwezi Februari Mpaka Machi, Klabu ya Simba ndio kinara anayeongoza kwa kupata penati nyingi zaidi Ligi Kuu ndani ya michezo 16 iliyochezwa mpaka sasa msimu huu 2024/25.
Simba imepata penati 6 na kuzifunga zote sawa na asilimia 100 ya kuzibadilisha na kuwa magoli. Nafasi ya pili ni Namungo, Tabora na Coastal Union ambazo hizo zote zimepata penati 5 kila mmoja huku nafasi ya tatu Azam Fc, Yanga na Fountain Gate ambazo zimefanikiwa kubadilisha penati na kuwa magoli. Ikumbukwe pia Aziz KI alikosa penati dhidi ya Tabora United iliyookolewa na Golikipa Hussein Masalanga Uwanja wa Chamazi kwenye mchezo ambao Yanga ilipoteza 3-1
Je, tutarajie muendelezo wa penati Ligi ikirejea?
Loser cup sio sawa na club bingwa