Takwimu: Simba kiwango kimeshuka

Takwimu: Simba kiwango kimeshuka

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Enzi hizo kiwango Cha Simba Kiko juu Al Ahly alikuwa hatoki na point taifa, kabamizwa mara mbili 1-0 lakini baada ya kiwango kushuka Al ahly kafanikiwa kudraw taifa
Uzi tayari
Povu ruksa
 
Kwahiyo Kila timu inayofungwa au kudroo kiwango kimeshuka.

Hawa ndiyo wachambuzi wa mpira!

Sio mbaya ndiyo Uhuru wenyewe.
 
Enzi hizo kiwango Cha Simba Kiko juu Al Ahly alikuwa hatoki na point taifa, kabamizwa mara mbili 1-0 lakini baada ya kiwango kushuka Al ahly kafanikiwa kudraw taifa
Uzi tayari
Povu ruksa
Umeshafakamia uji unakuja kupumulia humu
 
NILIISHA SEMA MADHAIFU YA USAJILI YA SIMBA TANGU MWEZI WA KWANZA HADI WA NANE.,

MSIMU HUU LABDA WABAHATISHE LAKINI KIUFUNDI HAWANA UWEZO.
 
Bila kusahau enzi hizo IHEFU alikuwa anacheza championship ila kwa sasa eti ndie MUME HALALI WA YANGA.
DUNIA INAKWENDA KASI SANA.
 
NILIISHA SEMA MADHAIFU YA USAJILI YA SIMBA TANGU MWEZI WA KWANZA HADI WA NANE.,

MSIMU HUU LABDA WABAHATISHE LAKINI KIUFUNDI HAWANA UWEZO.
Mbona una taka kujifanya unajua kuliko wataalamu wa mpira eti nawe unajiita kocha daaaah
 
Enzi hizo kiwango Cha Simba Kiko juu Al Ahly alikuwa hatoki na point taifa, kabamizwa mara mbili 1-0 lakini baada ya kiwango kushuka Al ahly kafanikiwa kudraw taifa
Uzi tayari
Povu ruksa
Real G mbona wewe ni yanga lia lia, inakuwaje kiwango cha Simba kushuka kikutie hofu????
 
Back
Top Bottom