Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Na leo ni enzi hizi, tulia babu siku huwa hazilinganiEnzi hizo
Kwahiyo Kila timu inayofungwa au kudroo kiwango kimeshuka.Enzi hizo kiwango Cha Simba Kiko juu Al Ahly alikuwa hatoki na point taifa, kabamizwa mara mbili 1-0 lakini baada ya kiwango kushuka Al ahly kafanikiwa kudraw taifa
Uzi tayari
Povu ruksa
Umeshafakamia uji unakuja kupumulia humuEnzi hizo kiwango Cha Simba Kiko juu Al Ahly alikuwa hatoki na point taifa, kabamizwa mara mbili 1-0 lakini baada ya kiwango kushuka Al ahly kafanikiwa kudraw taifa
Uzi tayari
Povu ruksa
Mbona una taka kujifanya unajua kuliko wataalamu wa mpira eti nawe unajiita kocha daaaahDirisha la Usajili CAF na TFF limefungwa RASMI niliyoshauri yafanyiwe kazi Simba HAYAJAFANYIKA, Wanasimba mjiandae kisaikolojia
Hellow Wana JF. Dirisha la Usajili la shirikisho la Soka Tanzania TFF na Lile la CAF limefungwa RASMI Jana 31AUGUST 2023. Yale yote niliyoyaomba na Kupendekeza yafanyike ndani ya wekundu WA Msimbazi hayajafanyiwa kazi kwa asilimia 90% Hii imeniuma mno kama shabiki mwanachama na Mfanyakazi wa...www.jamiiforums.com
NILIISHA SEMA MADHAIFU YA USAJILI YA SIMBA TANGU MWEZI WA KWANZA HADI WA NANE.,
MSIMU HUU LABDA WABAHATISHE LAKINI KIUFUNDI HAWANA UWEZO.
Mbona una taka kujifanya unajua kuliko wataalamu wa mpira eti nawe unajiita kocha daaaah
Real G mbona wewe ni yanga lia lia, inakuwaje kiwango cha Simba kushuka kikutie hofu????Enzi hizo kiwango Cha Simba Kiko juu Al Ahly alikuwa hatoki na point taifa, kabamizwa mara mbili 1-0 lakini baada ya kiwango kushuka Al ahly kafanikiwa kudraw taifa
Uzi tayari
Povu ruksa