Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani wana jf ...nataman kufanya kazi ktk ofisi za TAKWIMU TANZANIA...na mimi nasomea BA in economics.....je kunauwezekano wakuja kufanya kazi katika hizo ofisi baada yakukamilisha masomo yangu?nipo mwaka wa pili