Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 950
- 1,672
Hii sio taarifa kuhusu kiwango au performance ya timu. Hii ni taarifa inayoonesha timu ya taifa inaundwa na wachezaji wenye thamani(value) gani. Kwa mujibu wa tovuti ya ya Transfermarket na Score, imetoa tafsiri kwamba thamani ya timu ya taifa ‘ Total Market Value” napatikana kwa kupima mambo mengi , ikijumuisha mishahara ya wachezaji na ubora wa ligi zao, takwimu na viwango vya wachezaji katika vilabu vyao.
Ila sasa baada ya kuangalia thamani ya timu ya taifa, Taifa Stars sio kwa ubaya, ila hali yetu sio nzuri kama tunavyofikiri. Katika mataifa yenye uchumi angalau unaridhisha au yenye amani basi sisi ni kama wa mwisho tu. Tumeshika mkia kabisaa. Nasema haya sababu taifa ambalo tumelipita kwa thamani, ni either limeathirika na vita, au ni kisiwa. Yaani ukitoa Botswana, basi mataifa tuliyo yapita ni mataifa yanayoathirika na machafuko ya kisiasa, au ni kisiwa kama sychelles.
Nitatoa taarifa ya timu zote, ila wale ambao wataona shida kupitia timu zote ni kwa linapokuja suala la thamani ya timu za taifa Afrika, Taifa stars ni ya 40 katika nchi 56 zinazo tambulika na CAF yenye thamani ya €2.15m
Credit: Transfermarket.com

- Morocco — €320.05m
- Nigeria — €275.55m
- Senegal — €271.30m
- Ivory Coast— €245.35m
- Ghana—€ 238.68m
- Cameroon — €173.75m
- Mali — € 139.73m
- Algeria —€138.58m
- Egypt — €136.15m
- Burkina Faso — € 108.40m
- DR Congo —€91.40m
- Guinea— € 83.43m
- Gambia — €63.28m
- Tunisia — €58.65m
- Angola — €44.98m
- Guinea- Bissau — € 43.80m
- Togo — €38.15m
- Gabon — € 38.00m
- South Africa — € 34.75m
- Mozambique — €29.33
- Cape Verde — €24.63m
- Kenya — €24.33m
- Zimbabwe — € 23.88m
- Zambia — €22.03m
- The Republic of Congo — € 18.88m
- Comoros — €18.30m
- Benin — €17.73m
- Burundi — €17.55m
- Central African Republic — €15.13m
- Equatorial Guinea — €15.13m
- Liberia — € 14.68m
- Mauritania — € 10.83m
- Niger — €8.20m
- Madagascar —€7.55m
- Sierra Lione — €6.58n
- Rwanda —€ 5.23m
- Namibia — €4.35m
- Uganda — €3.43m
- Chad—€ 3. 43m
- TANZANIA 2.15M
Credit: Transfermarket.com