Komeo Lachuma JF-Expert Member Joined Oct 31, 2014 Posts 7,926 Reaction score 17,030 Nov 19, 2024 #1 Tuweke hapa idadi ya wachezaji ambao wameifungia team ya Taifa mabao mengi waliopo timuni mpaka sasa. 1. Simon Msuva 2. Mbwana Samatta 3. Feisal Toto Na makipa ambao wameibeba sana team ya Taifa mpaka sasa 1. Aishi Manula 2. Yule kipa wetu Yanga alisemwa Bwabwa Soma Pia: Full Time Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024
Tuweke hapa idadi ya wachezaji ambao wameifungia team ya Taifa mabao mengi waliopo timuni mpaka sasa. 1. Simon Msuva 2. Mbwana Samatta 3. Feisal Toto Na makipa ambao wameibeba sana team ya Taifa mpaka sasa 1. Aishi Manula 2. Yule kipa wetu Yanga alisemwa Bwabwa Soma Pia: Full Time Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Nov 19, 2024 #2 Na hv tumeshinda, mtakuja na kila aina ya uchambuzi ila ingekuwa tumepigwa π Ngoja nicheke
C christeve88 JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 2,841 Reaction score 4,531 Nov 19, 2024 #3 Mbaga Jr said: Na hv tumeshinda, mtakuja na kila aina ya uchambuzi ila ingekuwa tumepigwa π Ngoja nicheke Click to expand... Ogopa sana MTz ndug, huwa anaenda na upepo. Ukiifanya vizuri cha kwao ukikosea cha kwako.
Mbaga Jr said: Na hv tumeshinda, mtakuja na kila aina ya uchambuzi ila ingekuwa tumepigwa π Ngoja nicheke Click to expand... Ogopa sana MTz ndug, huwa anaenda na upepo. Ukiifanya vizuri cha kwao ukikosea cha kwako.
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Nov 19, 2024 #4 Samatta garasa Yanga wote mabwabwa
Lord Delamere in Kenya JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,988 Reaction score 8,021 Nov 19, 2024 #5 mdukuzi said: Samatta garasa Yanga wote mabwabwa Click to expand... πππ€£ Vyura wanakuja kwa speed huko Boss.
mdukuzi said: Samatta garasa Yanga wote mabwabwa Click to expand... πππ€£ Vyura wanakuja kwa speed huko Boss.