Wana JF,
Last week rafiki yangu toka Arusha alinitumia hii takwimu alioichunguza zaidi ya kati 20 mjini Arusha na akaja na haya matokeo
UKABILA-------------------------- CCM- 30 CDM-20 TLP-50
UDINI------------------------------- CCM- 40 CDM-20 TLP-40
JINSIA------------------------------ CCM- 20 CDM-20 TLP-60
HAIBA/UHUSIANO WA WATU- CCM- 20 CDM-10 TLP-70
HAIBA YA CHAMA--------------- CCM- 30 CDM-60 TLP-10
Hapa napata picha kuwa kuna mgombea wa TLP ndie anaeleweka sana na hawa wa Chadema na CCM ambao ni vijana wantatizo gani hapa?