Taifa letu limekuwa kwenye changamoto ya kutokuwa na umeme wa uwakika toka enzi na enzi. Serikali imefanya jitihada kubwa kusambaza umeme mijini na vijijini. Tuwapongeze viongozi kwa hilo.
Kutokana na maendeleo ya teknolojia, uchumi, rasilimali tulizonazo, maendeleo haya hayaendani na ukubwa na uchumi wa nchi yetu Tanzania.
Kunapokuwa na janga lolote, kama taifa tunapima/kuangalia athari zake.
Mgao wa umeme ni janga pia. Hivi athari zake ni zipi? Je, wawajibishwe wanaosimamia swala nishati hii?