Takwimu za Aziz Ki msimu huu

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Ana bao 4 na 'assist' 3, halafu ukiangalia kwa jicho la tatu msimu ndiyo kwanza unaanza. Tuliposema Aziz Ki ni bora kuliko Chama watu walibisha sasa, mpira ni takwimu.

Na takwimu za Azizi Ki ndiyo hizi, jamaa siyo kwamba tu anafunga na kutoa 'assist' ila anafunga na kutoa 'assist' kwenye mchezo muhimu.

Tuendelee kutunza takwimu mwisho wa msimu tutajua nani bora kati ya Aziz ki na Chama.

Mpira ni Takwimu!
 
Ushabiki maandazi ndio huo sasa. Chama sio wa kumlinganisha na huyo mchezaji wenu. Chama ashafanya makubwa na muhimu kwenye champions na shirikisho. Fuatilia mechi dhidi ya Nkana, platinum, As vital n.k Chama halinganishwi na yeyote hapo utopoloni kwa msimu mmoja.
 
Ww hivi unamjua chama kweli uliwahi kucheza nae uwanjani...mm nilimkaba nikaumbuka ....huyo aziza atasubili sana kwa huyu mwamba...mbingu na ardhi
 
Hata mwanzo wa msimu uliopita walikuwa wanasema Kibu ni bora kuliko Mayele tena kwa povu jingi haswa na mishipa ya shingo. Mwisho wa msimu wakaukimbia uzi wao

We achana nao makolo, hawajitambui.
Muda utasema najua June sio mbali
 
Ni kweli kabisa hadi Makolokolo mlibeba kombe la kahawa...[emoji87]
 
Aaah we umeshiba mihogo sasa mmekuja kujamba jamba humu
 
Kama timu yako haijawahi kufungwa na Aziz basi endelea kubisha
 
hatuwezi kusema azizi Ki ni best kuliko chama kwa takwimu za goals 4 na assist 3 . ubora wa mchezaji unatazamwa mwisho wa msimu tunachkua all statistics na utalinganisha na huyo wengine.

kusema Aziz ki ni bora kuliko chama ni kumtukana chama ni sawa na kumfananisha Firmino na Zaha eti kisa zaha ni ball dancer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…