Takwimu za derby Toka mwaka 1995 mpaka saizi

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Tukiwa tunausubiri derby kubwa hapa East Africa acha tujikumbushe Kwa kuipitia baadhi ya takwimu zilizopo tangu mwaka 1965

Simba. Yanga

106. Played. 106

31. Won. 38

37. Draw. 37

38. Lost. 31

136. Scored. 151

32. Clean sheet. 44


Kwa hizi takwimu ni wazi kuwa Kuna timu ni kibonde wa timu nyingne otherwise iboreshe zaidi kikosi Kwa kuwapata players jamii ya kina mayele[emoji23][emoji23]
 
Kweli utu uzima dawa. Pamoja na haya makelele yao yote kila siku; kumbe ni ma underdog tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…