Takwimu za Fei Toto zinatia huruma

Takwimu za Fei Toto zinatia huruma

baba aura

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2023
Posts
254
Reaction score
393
Wanajamvi Habari,

Twende moja kwa moja kwenye heading hapo, ukweli kitakwimu Fei Toto yupo chini sana kwa Sasa na si kama alivyokuwa yanga hapo awali.

Yaani kwa sasa hana utofauti na wachezaji wa championship hadi timu ya taifa anaachwa tu

Ubishi wa kitwakimu tu hapa
 
Back
Top Bottom