Takwimu za JamiiForums

The Legacy

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2022
Posts
5,879
Reaction score
11,318
Habari wana Bodi.

Nimekuwa nikiwaza mara kadhaa kuu ya hizi takwimu za mtandao wangu pendwa mzee nisie na makuu.

Hivi ni sahihi kweli kwamba tuko watu laki sita na ushee tuu?

Post zilizotumwa huku ni sahihi?

Nikiwaza ndugu yangu GENTAMYCINE anaweza akawa anapost zaidi ya laki 4 peke yake jinsi alivyo member active huku.

Hebu tusaidieni kuangalia hili

Asante, nawasilisha.
 

Attachments

  • IMG_5307.png
    131.9 KB · Views: 4
 
Bro usidanganyika na viewers huwa ina multiple countings. Yaani mimi nikiview Uzi wako sahivi halafu nikiview Tena badae then nikaview mtondogoo it's triplize. Kiuhalisia JF hatufiki hata members laki Tano hata mitaani ukiongelea jf 98% hawajui. You are luck to be here bro.
 
Sijawahi kuona post yenye views 4m. Japo kuna watu huwa wanaingia kama wageni ambao si member...wanapita na kusoma. Hawaandiki chochote.
Uzi wa kubeti una views milioni 30+


Ni kisanga ujue


Sasa hapo kama kila view ni sh 10 X 30,000,000/= unategemea nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…