TAKWIMU ZA KAYA ZENYE VYOO NCHINI

TAKWIMU ZA KAYA ZENYE VYOO NCHINI

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
276
Reaction score
574
Asilimia 94.4 ya kaya Tanzania zina vyoo. Kaya zisizo na vyoo Tanzania zimepungua kutoka asilimia 7.8 mwaka 2012 hadi asilimia 5.6 mwaka 2022.
 
Asilimia 94.4 ya kaya Tanzania zina vyoo. Kaya zisizo na vyoo Tanzania zimepungua kutoka asilimia 7.8 mwaka 2012 hadi asilimia 5.6 mwaka 2022.
Mikoa inayoongoza kwa kunya maporini: Shinyanga, Simiyu, Geita, Tabora, Mara, Bukoba, Mwanza,…
 
Aisee, bado tuna safari ndefu Kama nchi, yani on this era of science and technology revolution sisi tunajisifu kujenga vyoo vya kujisaidia wenyewe?

Anyways tunaishukuru serikali kwa kuhamasisha ujengaji wa vyoo kwa kila kaya, "nyumba Ni choo" hakika mama anaupiga mwingi.
 
Back
Top Bottom