Aisee, bado tuna safari ndefu Kama nchi, yani on this era of science and technology revolution sisi tunajisifu kujenga vyoo vya kujisaidia wenyewe?
Anyways tunaishukuru serikali kwa kuhamasisha ujengaji wa vyoo kwa kila kaya, "nyumba Ni choo" hakika mama anaupiga mwingi.