Elections 2010 Takwimu za Kikwete jamani!

zumbemkuu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
11,075
Reaction score
9,263
Kwa wana JF, hivi kikwete alivyosema kwamba CCM imejenga maabara kubwa na ya kisasa ktk hospital ya Bombo Tanga na hakuna kama hiyo popote dunian, ya kwel hayo?
 
Kwa wana JF, hivi kikwete alivyosema kwamba CCM imejenga maabara kubwa na ya kisasa ktk hospital ya Bombo Tanga na hakuna kama hiyo popote dunian, ya kwel hayo?

Kujengwa inawezekana lakini hapo kwenyered ndo penye utata.
 
Kwa wana JF, hivi kikwete alivyosema kwamba CCM imejenga maabara kubwa na ya kisasa ktk hospital ya Bombo Tanga na hakuna kama hiyo popote dunian, ya kwel hayo?

huyo niliyombold kwa rangi ya Blue ni mtembezi sana.....keshatembea almost ulimwengu wote huu..Anajua tofauti kati ya Tz Vs Rest of the world... Hakuna chochote ambacho ni cha kujivunia hata Tanzanite ambayo inasemekana ipo Tz tu inaonekana kenya na Sauzi ndo wazalishaji wakubwa.....Hakuna ambacho kaanzisha huyu Bwana...kila kitu yeye kaendeleza, Sio creative enough.....
 
Kwa wana JF, hivi kikwete alivyosema kwamba CCM imejenga maabara kubwa na ya kisasa ktk hospital ya Bombo Tanga na hakuna kama hiyo popote dunian, ya kwel hayo?
ni bombo ya tanga au ulaya??? maabara ya bombo haifikii hata ya kule konsolata ikonda wilaya ya makete!!!!!!

its a bad joke mazee... lab nzuri hapa bongo zimejengwa na abbott funds na mkakati mkubwa zaidi ni kuweza kuleta regaents na mashine zao pamoja na csr under philanthropy deed

nyingine kuna pesa ya glbal fund ambayo hata kama ingekua serikali ya DP hizo pesa zingekwenda

jokes aside JK
 
Ni maabara za kawaida sana zimejengwa na zingine zinaendelea kujengwa katika hospitali zote za mikoa Tz bara only Dar zipo 3 (Ilala, mwananyamala na Temeke hospitals). Mradi huo unafadhiliwa na shirika binafsi la utafiti wa madawa kutoka Marekani (Abbott fund)
Inasemekana hilo shirika linawekeza ktk maabara pamoja na clinics ili kufanya utafiti wao wa madawa. Kuna uwezekano mkubwa waTZ tukafanywa specimen za majaribio ya madawa ya hao jamaa mara watakapoanza ku-operate!!!
 
wanauza mashine na reagents zao pia kupata exemptions under the "hisani" avenue
 
more ammunition for Chadema and Dr Slaa.....:smile-big:
 
Kwa wana JF, hivi kikwete alivyosema kwamba CCM imejenga maabara kubwa na ya kisasa ktk hospital ya Bombo Tanga na hakuna kama hiyo popote dunian, ya kwel hayo?

Hakuna maabara yoyote iliyojengwa Bombo wala sehemu nyingine ya Tanga. Pale Bombo umefanyika ukarabati wa maabara ya zamani kwa kutumia pesa kutoka Abbot Funds kama walivyosema wachangiaji wengine. Pia kuna maabara ya NIMR (kwa kazi za utafiti) jirani na hospitali ya Bombo. Kati ya hizo hakuna maabara hata moja ambayo imefikia viwango vya kuitwa maabara ya kisasa katika vigezo vya dunia. Hata hivyo kwa kuwa Watanzania wamefanywa ndondocha basi wanaweza kuamini upuuzi kama huo. Yaani kama kweli kasema hivyo basi JK yuko hoi bin taaabani. Anahitaji kuonana na tabibu haraka iwezekanavyo!
 
Kwa wana JF, hivi kikwete alivyosema kwamba CCM imejenga maabara kubwa na ya kisasa ktk hospital ya Bombo Tanga na hakuna kama hiyo popote dunian, ya kwel hayo?
Imejenga au itajenga?? Nafikifi hiyo ni ahadi mpya!!
 
Hakukosea. Alimaanisha Maabara ya Makamba na Sheick Yahya Hussein.

One of it's kind na kweli hamna duniani.
 
mh makubwa. mi naona haya yote yameletwa na maendeleo ya simu za mkoni. kwa sasa tunawauliza bibi zetu vijijini mambo yanavyokwenda. safi sana utandawazi. dr slaa hoyee
 
Mtasikia mengi kwani watanzania wanapenda porojo kama za JK
 
Hakukosea. Alimaanisha Maabara ya Makamba na Sheick Yahya Hussein.

One of it's kind na kweli hamna duniani.

By theway na yenyewe ni ya kisasa kiasi kwamba HAIIONEKANI kama wale walinzi wa mheshimiwa alio pewa na Dr. Yahya.
 
Unajua katika maisha ni lazima uwe umeona MOJA ili kujua kuwa MBILI ni kubwa kuliko moja, Sasa kwa hao nduu zanu wa mombo hawajawahi kuona maabara ya zamani ilikuwa imechoka mbaya leo ukiikarabati ukawaletea hata microscope kitu ambacho hawajawahi hata kukiona kwa vyovyote ukiwahambia kuwa hiyo maabara hata ULAYA HAKUNA AMNA ATAKAYE BISHA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…