Takwimu za Kipa mpya wa Simba SC Hussein Abel

Hilo jamaa linajua saaaaanaaaaaaaaaaa
 
View attachment 2711038
Mara nyingi makipa wanaonekana sana ni hawa wa timu kubwa, lakini aliyekuwa kipa wa KMC amethihirisha uwezo wake kwenye takwimu.
Hussein Abeli ni kipa mzuri, Kwa waliofuatilia mechi za Tanzania Prison wanajua hilo. Aliteseka sana kuna muda nilikuwa nawaza kuwa huyu kipa atakufa jinsi beki yake ilivyomtesa. Natumaini ataleta ushindani.
 
Safi nimependa sana promote wachezaji wetu wa ndani....
 
Kwa nini mlienda kwa mbrazil kwanza?Mlisubiri mbrazil wenu wa daraja la nne huko awaumbue ndiyo mzione takwimu za huyu dogo?.
Sema ukweli tu kuwa hamkuwa na njia nyingine zaidi ya kuchukua yeyote tu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Na wana chief Scout kumbuka hapo [emoji23]
 
Kitendo cha sisi Simba kumuacha beno na kuokota kipa yyte Hapo tumefeli Sana na tutazidi kufeli katika hili
 
Pendekezo la chief of scout.....yule jamaa tapeli
 
Taabu simba imehusika kuua/kuhujum kipaji chake, na saiv inawaza kipa kutoka horoya huoni ndio inazidi kuua Hawa vijana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…