pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Kombe la dunia nchini Qatar linaelekea ukingoni lililo kutanisha team 32 kutoka mabara tofauti huku team (13) zikitoka ulaya team (4) kutoka America kusini team (5) kutoka Africa na team (4) kutoka America kusini na team (6) zikotoka bara la Asia huku bingwa wa ulaya (Italy) akikosekana kwenye mashindano hayo.
Zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya fainali ya kombe la dunia nchini Qatar zitakazo ikutanisha team ya taifa ya Argentina na team ya taifa ya France baada ya hatua ya nusu fainali kutamatika hapo jana huku MORROCO na CROATIA zikitupwa nje ya fainali na zitakutana kwenye mechi ya mshindi wa tatu siku ya jumamosi na fainali itakuwa siku ya juma pili katika uwanja wa lusail stadium nchini Qatar.
Mechi ya fainali kati ya France dhidi ya Argentina itawakutanisha miamba hiyo ya soka kwa mara ya 13 huku Argentina ikishinda michezo 6 na kutoa sare 3 na France kashinda mechi tatu katika game zilizopita walipokutana.
Fainali ya Argentina dhidi ya France ni fainali ya 22 katika historia ya michuano hiyo toka ilipoanzishwa mwaka (1930) huku Uruguay akichukua kombe hilo katika fainali za kwanza za michuano hiyo na France ndio bingwa mtetezi wa kombe hilo na Brazil ndio team pekee iliyoshiriki katika mashindano yote ya kombe la dunia mara (22) na ndio kinara wa kutwaa kombe hilo na kila team (Argentina na France) ikichukua mara mbili kombe hilo.
Wakati mbio za mashindano hayo zikiwa zinaelekea ukingoni team ya taifa ya Spain imeweka record ya team iliyopiga pass nyingi katika mashindano hayo nchini Qatar (3527 passes) huku lionel messi na kylian mbape wote wakiwa na goli tano kila mmoja messi akiwa na assist 3 akimzidi mbape kwa assist moja wakifuatiwa na Olivier giroud na julian Alvarez kwenye mbio za ufungaji Bora wote wakiwa na goli nne.
Aidha nyota wa team ya taifa ya Morocco sofyan amrabat akiwa kinara wa ku retain possession kwenye team yake (51) na aurellen Tchouameni akiongoza kwenye interceptions (12) na jude Bellingham akiongoza kwenye tackles (15) huku kylien mbape akiongoza kwenye dribbles (21) pamoja na lionel messi akiwa kinara kwenye shots on target (14) na antonio griezmann akiwa kinara wa kutengeneza nafasi (21) kwenye takwimu za wachezaji wote walioshiriki kombe la dunia.
Mechi ya Argentina dhidi ya Mexico na Croatia ndio mechi zilizoongoza kuingiza mashabiki wengi katika fainali za kombe la dunia nchini Qatar (88,966) na mechi ya Switzerland dhidi ya Cameron ndio mechi iliyokuwa na watazamaji wachache (39,089) katika fainali hzo.
Atiba Hutchinson mchezaji wa team ya taifa ya Canada ndiye mchezaji aliyekuwa na umri mkubwa kwenye fainali za kombe la dunia (miaka 39 na siku 298) na youssoufa moukoko mchezaji wa team ya taifa ya Germany ndiye mchezaji mwenye umri mdogo kwenye mashindano hayo (miaka 18 na siku 3) na kocha wa team ya taifa ya Netherlands Louis van Gaal ndiye kocha aliyekuwa na umri mkubwa (miaka 71 na siku 125) katika fainali hizo.
Morocco inakuwa team ya kwanza Africa kufika hatua ya nusu fainali katika mashindano hayo huku France ikiwa team ya kwanza kati ya team tano zilizochukua ubingwa na kufika hatua ya fainali na ya kwanza tangu mwaka 1998 huku Brazil ikiwa team ya kwanza kuchukua kombe hilo fainali mbili mfululizo (1958–1962) France ana nafasi kubwa ya kufanya hivyo mwaka huu.
Je, France atavunja record iliyodumu kwa miaka mingi?
Messi anastaafu national team na kombe la dunia?
Morocco inakuwa team ya kwanza kutoka bara la afrika kuwa mshindi wa tatu kwenye fainali hizo?
Mbape anachukua world cup mara ya pili mfululizo kwenye historia ya France na soka iliyodumu kwa mda mrefu?
Tusubiri tuone ni siku ya juma mosi na juma pili zitatoa majibu ya maswali yote yaliyopo kwenye vichwa vya mashabiki na wapenzi wa soka.