Takwimu za masuala ya ndoa Tanzania (Divorce rate)

Takwimu za masuala ya ndoa Tanzania (Divorce rate)

strongest

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2024
Posts
343
Reaction score
1,562
hizi ni statistics kwa mujibu wa
The chanzo

Rate ya divorce kwa mikoa inayosifiwa kwamba ina wife materials na wapo vizuri kitandani mbona graph ipo juu sana .

Mikoa inayongoza kwa talaka
1 - Kusini unguja
2 - Mtwara
3 - Lindi
4 - Mjini magharibi
5 - Pwani
6 - Tanga
7 - Pemba
8 - Geita
9 - Kaskazini unguja
10 - Morogoro

images (19) (1).jpeg
 
hizi ni statistics kwa mujibu wa
The chanzo

rate ya divorce kwa mikoa inayosifiwa kwamba ina wife materials na wapo vizuri kitandani mbona graph ipo juu sana .

mikoa inayongoza kwa talaka
1.kusini unguja
2-mtwara
3-lindi
4-mjini magharibi
5-Pwani
6-Tanga
7-pemba
8-Geita
9-kaskazini unguja
10-Morogoro
SITA kwa SITA imechokwa!
 
Back
Top Bottom