hizi ni statistics kwa mujibu wa
The chanzo
rate ya divorce kwa mikoa inayosifiwa kwamba ina wife materials na wapo vizuri kitandani mbona graph ipo juu sana .
mikoa inayongoza kwa talaka
1.kusini unguja
2-mtwara
3-lindi
4-mjini magharibi
5-Pwani
6-Tanga
7-pemba
8-Geita
9-kaskazini unguja
10-Morogoro