Takwimu Za Mbrazil Alietua SIMBA Je ni Galasa?

Takwimu Za Mbrazil Alietua SIMBA Je ni Galasa?

Nabii kibonge

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2018
Posts
277
Reaction score
310
TAIRONE SANTOS DA SILVA. Ni mchezaji wa zamani wa vilabu vya
:
[emoji778]2009-12: Esporte: Mechi 18
[emoji778]2012: Cerâmica: Mechi 0
[emoji778]2013: Canoas: Mechi 7
[emoji778]2013: Cianorte: Mechi 10
:
[emoji3578] Baada ya hapo akapumzika kidogo kwa muda wa miaka mitatu
:
[emoji778]2016: Esporte: Mechi 4
[emoji778]2017-18: Ypiranga: Mechi 18
[emoji778]2018: Sao Luiz: Mechi 12
[emoji778]2019: Cearence: Mechi 6
[emoji778]2019- ???????
:
Karika umri wa miaka 30 amacheza mechi za mashindano 75 pekee
:
[emoji457]Magoli -2
[emoji431]Kadi za njano-24
[emoji425]Kadi Nyekundu-3
:
shaffihdauda_-20190630-0001.jpeg
 
Huyo kazidi katika umri wa miaka 30 kacheza mechi 75 tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pia prfomance mbovuuu inaonekan
"NYOTA WA ZAMANI" wa vilabu alivyopitia

Nyota inawezaje kuwa garasa??

Hata Okwi na Kagere haya maneno tuliyasikia. Baadae wakaja kuwafumua vyura marinda.
 
Bale tunaweza kumuelewa kidog amepeform lakin kuna transfer mbovu kweli kama Man u kumchukua Falcao kwa mkopo kiukweli alichemsha vibaya sana
Usajili mwingine bora ubaki kimya maana huwezi jua kitachotokea

Yale yale ya Bale kununuliwa bei kubwa akashindwa fanya kitu
 
Sajili zote ni kamari

Ona Salah akiwa Chelsea na Liverpool
Ona De Bruyne akiwa Chelsea ona akiwa City

Njoo angalia James wa Madrid alinunuliwa kisa goli 6 WC akaenda kuwa Flop wakampeleka Bayern sasa Bayern hawamtaki na Real hawamtaki
 
Simba walimletaga mchezaji mmoja mrefu ana bonge la mwili anaitwa Pape Ndong sijui, vituko alivyofanya sasa.......
ndo yule wa kiatu chake icho icho kimechakaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Gongowazi bwana [emoji196][emoji196] mnasubiri mpka Shaffih Dauda aGoogle [emoji16][emoji16]
 
Usajili wowote duniani ni kamali, kinachozudiana ni odds tu..

Acha muda uzungumze.
 
Back
Top Bottom