Takwimu za Nabi kwenye ligi ya Botola Pro akiwa na AS FAR Rabat

Takwimu za Nabi kwenye ligi ya Botola Pro akiwa na AS FAR Rabat

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Kocha wa Zamani wa Yanga Nabi kwasasa anakinoa kikosi cha ASFAR Rabat ya huko Morocco.

Ligi hiyo imekamilika kwa mzunguko wa kwanza na hizi ndizo takwimu za kocha Nabi.

Amecheza mechi 15

Ana Alama 33

Magoli ya kufunga 33

Magoli ya kufungwa 13

Yupo juu ya Msimamo (Kileleni)

Nabi anaupiga mwingi huko Morocco
 
Amejitahidi kutetea ubingwa, japo naona wanakabana koo na Raja kwa kulingana point.
 
Amejitahidi kutetea ubingwa, japo naona wanakabana koo na Raja kwa kulingana point.
Raja yupo moto .
Tusubiri amalize msimu ndiyo mleta Mada ulete uzi wa tadhmini ya Nabi lakini sio sasahivi .
 
Kocha wa Zamani wa Yanga Nabi kwasasa anakinoa kikosi cha ASFAR Rabat ya huko Morocco.

Ligi hiyo imekamilika kwa mzunguko wa kwanza na hizi ndizo takwimu za kocha Nabi.

Amecheza mechi 15

Ana Alama 33

Magoli ya kufunga 33

Magoli ya kufungwa 13

Yupo juu ya Msimamo (Kileleni)

Nabi anaupiga mwingi huko Morocco
Ameshinda mechi ngapi?

Amefungwa ngapi?

Amesuruhu ngapi?

Fafanua hapo tu.
 
Ameshinda mechi ngapi?

Amefungwa ngapi?

Amesuruhu ngapi?

Fafanua hapo tu.
Mbona kila kitu kaweka bayana? Labda hilo la kushinda mechi na kufungwa mechi ngapi.
Kashinda mechi 10
Kafungwa mechi 2
Katoa sare mechi 3
 
Bahati iwe nae apate kushinda ambavyo hakufanikisha akiwa nasi, Yanga.
 
Wydad safari hii hachukui kombe yupo hoi.
As Far au raja watabeba
 
Attachments

  • 82CB417C-F39A-4C3C-9F13-E0FB7C06DCED.jpeg
    82CB417C-F39A-4C3C-9F13-E0FB7C06DCED.jpeg
    127.3 KB · Views: 9
Amejitahidi kutetea ubingwa, japo naona wanakabana koo na Raja kwa kulingana point.
Raja kafanikiwa kupindua meza, anaongoza ligi kwa tofauti ya point 1 ikiwa imebakia mechi moja ligi kuisha.
 
Back
Top Bottom