Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
GAmondi hujamuelewaArudi yanga
Amejitahidi kutetea ubingwa, japo naona wanakabana koo na Raja kwa kulingana point.Kocha wa Zamani wa Yanga Nabi kwasasa anakinoa kikosi cha ASFAR Rabat ya huko Morocco.
Ligi hiyo imekamilika kwa mzunguko wa kwanza na hizi ndizo takwimu za kocha Nabi.
Amecheza mechi 15
Ana Alama 33
Magoli ya kufunga 33
Magoli ya kufungwa 13
Yupo juu ya Msimamo (Kileleni)
Nabi anaupiga mwingi huko Morocco
Raja yupo moto .Amejitahidi kutetea ubingwa, japo naona wanakabana koo na Raja kwa kulingana point.
Ameshinda mechi ngapi?Kocha wa Zamani wa Yanga Nabi kwasasa anakinoa kikosi cha ASFAR Rabat ya huko Morocco.
Ligi hiyo imekamilika kwa mzunguko wa kwanza na hizi ndizo takwimu za kocha Nabi.
Amecheza mechi 15
Ana Alama 33
Magoli ya kufunga 33
Magoli ya kufungwa 13
Yupo juu ya Msimamo (Kileleni)
Nabi anaupiga mwingi huko Morocco
Mbona kila kitu kaweka bayana? Labda hilo la kushinda mechi na kufungwa mechi ngapi.Ameshinda mechi ngapi?
Amefungwa ngapi?
Amesuruhu ngapi?
Fafanua hapo tu.
Raja kafanikiwa kupindua meza, anaongoza ligi kwa tofauti ya point 1 ikiwa imebakia mechi moja ligi kuisha.Amejitahidi kutetea ubingwa, japo naona wanakabana koo na Raja kwa kulingana point.