Takwimu za ndoa

Takwimu za ndoa

iphoneman

Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
37
Reaction score
2
habari zenu wana JF? hivi karbuni nmekua nikifuatilia sana hili jukwaa na kusoma threads zenye mafunzo kwa baadhi ya watu {nami nikiwa mmoja wao} ila nipo hapa nikiomba msaada kwa yeyote mwenye takwimu ya idadi ya ndoa zinazofanyika kila mwaka nchini kwetu au itakua vyema zaidi kama nitapatiwa source ya kupata takwimu hizo kwani nipo katika mchakato wa kufanya utafiti unaohusiana na masuala ya ndoa na mahusiano. Nitashukuru zaidi endapo nitasaidiwa katika hilo.
 
Bongo hiii?
Nchi isiyoweka rekodi ya mambo zaidi ya kujaza mafaili kwenye mashelve? Sidhani kama unaweza kupata za nchi nzima sehemu moja.
 
Dah! Lakini hata nikiweza kupata za baadhi ya maeneo nchini itakua vyema pia sababu nimejitahidi kuangalia RITA lakini naambulia patupu tu.
 
Kama alivosema kwa Bongo hii? Kikubwa sema what you want to know and waweza pata recommendations ya the Best way of your Research.
 
yani kikubwa ninachohitaji saivi ni hizo takwimu tu katika vipengele vingine nimekwishaandaa
 
habari zenu wana JF? hivi karbuni nmekua nikifuatilia sana hili jukwaa na kusoma threads zenye mafunzo kwa baadhi ya watu {nami nikiwa mmoja wao} ila nipo hapa nikiomba msaada kwa yeyote mwenye takwimu ya idadi ya ndoa zinazofanyika kila mwaka nchini kwetu au itakua vyema zaidi kama nitapatiwa source ya kupata takwimu hizo kwani nipo katika mchakato wa kufanya utafiti unaohusiana na masuala ya ndoa na mahusiano. Nitashukuru zaidi endapo nitasaidiwa katika hilo.

nenda ofisi ya msajili wa ndoa utapata tu maana mashehe na mapadri/wachungaji huwasilisha vitabu vinapojaa kwa ofisi za serikali. pale utapata full data, usikate tamaa!
 
Inabidi nifanye hivyo aisee
 
Go to the National Bureau of Statistics! :juggle:
 
dah...ila hii inchi kuhifadhi kumbukumbu ya vitu vya msingi tu shida...sasa kwa hili....mmh...napata msahaka kama utapata hata hizo takwimu zitakuwa sahihi/current!!
 
Back
Top Bottom