Bongo hiii?
Nchi isiyoweka rekodi ya mambo zaidi ya kujaza mafaili kwenye mashelve? Sidhani kama unaweza kupata za nchi nzima sehemu moja.
Kama alivosema kwa Bongo hii? Kikubwa sema what you want to know and waweza pata recommendations ya the Best way of your Research.
habari zenu wana JF? hivi karbuni nmekua nikifuatilia sana hili jukwaa na kusoma threads zenye mafunzo kwa baadhi ya watu {nami nikiwa mmoja wao} ila nipo hapa nikiomba msaada kwa yeyote mwenye takwimu ya idadi ya ndoa zinazofanyika kila mwaka nchini kwetu au itakua vyema zaidi kama nitapatiwa source ya kupata takwimu hizo kwani nipo katika mchakato wa kufanya utafiti unaohusiana na masuala ya ndoa na mahusiano. Nitashukuru zaidi endapo nitasaidiwa katika hilo.
nenda ofisi ya msajili wa ndoa utapata tu maana mashehe na mapadri/wachungaji huwasilisha vitabu vinapojaa kwa ofisi za serikali. pale utapata full data, usikate tamaa!
Go to the National Bureau of Statistics! :juggle:
Embu jaribu na hizi site labda zitakusaidia kidogo..:
United Republic of Tanzania Marriage Statistics by Country. Compare, reviews & ratings.
UNICEF - Tanzania, United Republic of - Statistics