Takwimu za Simba kwa mechi za nje ya Mkapa Stadium

Takwimu za Simba kwa mechi za nje ya Mkapa Stadium

Simba ni timu nzr ,
Haitumii janja janja za Miamala ya simu kama utopolo.

Hebu nambie wewe mleta hoja kuna sehem Tanzania Miamala inasumbuwa?

Mechi zote za utopolo ni Miamala mitupu.
 
Mmmmmh
Simba ni timu nzr ,
Haitumii janja janja za Miamala ya simu kama utopolo.

Hebu nambie wewe mleta hoja kuna sehem Tanzania Miamala inasumbuwa?

Mechi zote za utopolo ni Miamala mitupu.
 
Simba ni dhaifu sana ichezapo nje ya uwanja wa Mkapa! Hata mechi na Dodoma Fc yenyewe ilikuwa iishe kwa sare, ila mwamuzi akaamua kuwapa ushindi wa mchongo.
Pale kwa mkapa wamefukia mauchawi yao ndo maana mechi zake nyingi hususani za kimataifa anashinda sana pale taifa, kule mikoani hawajaweka ndumba nyingi ndo maana anahangaika kupata matoke.
Nawashauri Yanga mwaka huu wafanye juu chini wayafukue yale matunguli pale kwa mkapa. Ndo maana Yanga wakati mwingine anapata shida kupata matokeo kwa mkapa sababu ndo hiyo.
 
Wananchi wanasema hivi;

Yanga.jpg
 
Back
Top Bottom