Nashangaa watu hawajui hilo; wape ukweli mkubwa wangu! Vita ya Urusi na Ukraine imeleta matatizo mengi Tanzania.Tatizo ni urusi na Ukraine
Mta draw na nan , mana mkishnda zote ni 78Yanga tunamaliza na point 74.
Simba ni dhaifu sana ichezapo nje ya uwanja wa Mkapa! Hata mechi na Dodoma Fc yenyewe ilikuwa iishe kwa sare, ila mwamuzi akaamua kuwapa ushindi wa mchongo.
Simba ni timu nzr ,
Haitumii janja janja za Miamala ya simu kama utopolo.
Hebu nambie wewe mleta hoja kuna sehem Tanzania Miamala inasumbuwa?
Mechi zote za utopolo ni Miamala mitupu.
Pale kwa mkapa wamefukia mauchawi yao ndo maana mechi zake nyingi hususani za kimataifa anashinda sana pale taifa, kule mikoani hawajaweka ndumba nyingi ndo maana anahangaika kupata matoke.Simba ni dhaifu sana ichezapo nje ya uwanja wa Mkapa! Hata mechi na Dodoma Fc yenyewe ilikuwa iishe kwa sare, ila mwamuzi akaamua kuwapa ushindi wa mchongo.
ila ndumba sasaSimba ni timu nzr ,
Haitumii janja janja za Miamala ya simu kama utopolo.
Hebu nambie wewe mleta hoja kuna sehem Tanzania Miamala inasumbuwa?
Mechi zote za utopolo ni Miamala mitupu.