Takwimu za Simba, Yanga, mechi za nyumbani na ugenini

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
Jumamosi October 28, 2017 kitawaka pale uwanja wa Uhuru utakapochezwa mchezo wa ligi kuu Tanzania Yanga vs Simba mzunguko wa nane wa ligi hiyo.

kabla ya mechi hiyo kupigwa, kuna takwimu muhimu za kufahamu ili kujua ubora wa kila timu na mapungufu yake inapocheza ugenini au uwanja wa nyumbani.

Simba

  • Nafasi: 1
  • Mechi ilizocheza: 7 Nyumbani: 3 Ugenini 4
  • Ushindi: 4 Nyumbani: 3 Ugenini: 1
  • Sare: 3 Nyumbani: 1 Ugenini: 2
  • Kupoteza: 0 Nyumani: 0 Ugenini: 0
  • Magoli ya kufunga: 19 Nyumbani: 15 Ugenini 4
  • Magoli ya kufungwa: 4 Nyumbani: 1 Ugenini: 3
  • Pointi: 15 Nyumbani: 10 Ugenini: 5
  • Cleen sheets: 4 Nyumbani: 3 Ugenini: 1
  • Mechi waliyoshindwa kufunga goli: 1 Nyumbani: 0 Ugenini: 1
  • Ushindi Mkubwa: 7-0 Nyumbani: 7-0 Ugenini: 2-1
  • Kipigo kikubwa: 0
Yanga

  • Nafasi:2
  • Mechi ilizocheza: 7 nyumbani: 3 ugenini: 4
  • Ushindi: 4 nyumani: 1 ugenini 3
  • Sare: 3 nyumbani: 2 ugenini: 1
  • Kupoteza: 0 nyumbani: 0 ugenini: 0
  • Magoli ya kufunga 10 nyumbani: 2 ugenini: 8
  • Magoli ya kufungwa:3 nyumbani: 1 ugenini 2
  • Pointi: 15 nyumbani: 5 ugenini: 10
  • Clean sheets: 4 nyumbani: 2 ugenini: 2
  • Mechi waliyoshindwa kufunga goli: 1 nyumbani: 1 ugenini: 0
  • Ushindi mkubwa: 4-0 Nyumbani: 1-0 Ugenini: 4-0
  • Kipigo kikubwa: 0
 
Simba wakitufunga tu Ubingwa Kwa Mwaka huku Wausahau yaani wakitufunga Yanga tu ndio baasi hiyooo
 
Ndala, chondechonde msikimbie Uwanja Jumamosi.
 
Sembo mdogo wake Rage na binamu wa Haji...wazee wa mikwara kabla ya mechi

Mkuu.. Msimu huu.. tunawapiga nyumbani, tunawapiga ugenini.. tunawapiga kabla ya mechi, tunawapiga baada ya mechi.. Simba SC ni raha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…