Takwimu za Ulaya wiki hii, Bruno Fernandes, Raheem Sterling, Mohamed Salah

Takwimu za Ulaya wiki hii, Bruno Fernandes, Raheem Sterling, Mohamed Salah

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Hat-trick ya Bruno Fernandes dhidi ya Real Sociedad ni ya kwanza kwa Manchester United katika Michuano ya Ulaya tangu Marcus Rashford alivyofunga vs. RB Leipzig (2020), pia ni ya kwanza Europa League tangu Zlatan alivyofunga vs. St-Etienne (2016)

Raheem Sterling ni Mchezaji wa Kwanza wa Uingereza kuhusika katika ufungaji wa Magoli akiwa na timu nne tofauti kwenye Michuano ya Champions League

Wachezaji wanaoongoza kwa kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi katika Premier League ni Harry Kane, Sergio Aguero na Mohamed Salah, kila mmoja amebeba tuzo mara 7

Goli alilofunga Conor Gallagher dhidi ya Real Madrid katika sekunde ya 27 ndilo Goli la haraka zaidi kufungwa na Mchezaji Muingereza katika Champions League, na ndilo goli la mapema zaidi kufungwa katika historia ya Atlético Madrid
==========================

Bruno Fernandes, hat-trick hero. The Portuguese midfielder made it six goals in his last six games across all competitions, with his second career hat-trick for the Red Devils. It was the first major European hat trick by a Manchester United player since Marcus Rashford in 2020 vs. RB Leipzig and the first in the Europa League since Zlatan vs. Saint-Etienne in 2016.

Raheem Sterling is the first ever English player to be directly involved in at least one goal for four different clubs in the Champions League

The Spaniard has now scored seven goals in his last five games across all competitions, with three of them coming home and away against Club Brugge in the UCL. He has now scored 12 Champions League goals as a sub, more than any other player in the competition and has found the back of the net in three consecutive appearances in all competitions for the first time since April 2021.

Conor Gallagher's goal after 27 seconds against Real Madrid is the quickest ever goal scored by an English player in a Champions League game and the quickest goal scored by Atlético Madrid player in the competition's history.

Source: Squawka
 
Back
Top Bottom