Takwimu za Ushindi kati ya Yanga na Simba kwa mwaka 2020/2021 na 2021/2022

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Simba Vs Yanga
2020/21

WIN
Simba 76.6%
Yanga 62%

DRAW
Simba 15%
Yanga 32%

LOSE
Simba 8%
Yanga 6%

MATCH GOALS DISTRIBUTION
Simba 2.4 goals/match
Yanga 2.2 goals/match

TOTAL MATCH WINNING
Simba 80%
Yanga 72

2021/2022

WIN
Yanga 76.7%
Simba 63%

DRAW
Yanga 23%
Simba 30%

LOSE
Yanga 0%
Simba 6%

MATCH GOALS DISTRIBUTION
Yanga 1.5 goals/match
Simba 1 goal/match

TOTAL MATCH WINNING
Yanga 80%
Simba 70%

NB: YANGA
1. Ameongeza uwezo wa kushinda kwa 8%
2. Ameongeza uwezo wa kulinda kwa 100%
2. Ameongeza uwezo wa magoli kwa goli 0.2 kwa mechi
3. Ameongeza magoli ya kufunga na kufungwa kwa 0.6
4. Amepunguza sare kwa 2%

SIMBA
1. Amepunguza uwezo wa kushinda kwa 13%
2. Amepunguza magoli ya kufunga na kufungwa kwa goli 1.1 kwa kila mechi
3. Ameongeza sare kwa 15%
4. Amepunguza uwezo wa kufungwa kwa 2%

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hizi Statistics zako mbona hazieleweki ww,, ndo unamaanisha nn..?
 
Achana na kuchukua vipandevipande vya miaka. Kwa ujumla Simba ni kibonde wa Yanga wa miaka yote na itaendelea kubaki hivyo.
Ata kiongozi mwandamizi wa Simba ndugu Kaduguda ana kwambia niraisi Simba kuifunga Ahly ya Misri mbingwa wa muda wote wa Caf champion league kuliko kuwafunga Yanga Mabingwa wa muda wote wa NBC premier league.
 
Twende kazi Wananchi. Tuna mechi leo na maafande wa Polisi. Ushindi ni muhimu.
 
Ndo ukichaa wenu unapookana yani walahi mtakua mnaumwa yani hyo miaka yote ni ipi?.hebu orodhesha
 
Ndo ukichaa wenu unapookana yani walahi mtakua mnaumwa yani hyo miaka yote ni ipi?.hebu orodhesha
Daaaah mbona jamaa katoa analysis yake tu vizuri, tafiti hupingwa kwa tafiti, takwimu hupingwa kwa takwimu,...so mpinge jamaa kwa kuweka takwimu zinazomprove wrong kwa kile alichoandika sio kumpinga kwa maneno tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…