WLF Tanzania
Member
- Oct 9, 2014
- 38
- 22
View attachment 277733
Grafu hapo juu inaelezea, wanawake walio kwenye ndoa kuanzia umri wa miaka 15-49 na matumizi ya njia za kisasa za Uzazi wa Mpango. Grafu hii inaonyesha kwa Tanzania asilimia zinaongezeka japokuwa ni kwa taratibu sana.
View attachment 277736
Grafu hapo juu inaelezea, wanawake walio kwenye ndoa kuanzia umri wa miaka 15-49 na matumizi ya njia za kisasa za Uzazi wa Mpango. Grafu hii inaonyesha matumizi ya njia za uzazi wa mpango kwenye Kanda zote saba za Tanzania.
View attachment 277747
Grafu hapo juu inaelezea wastani wa idadi ya watoto kwa mwanamke kuanzia mwaka 1991-2010.
View attachment 277770
Grafu hapo juu inaelezea, wastani wa idadi ya watoto kwa mwanamke katika kanda zote za Tanzania Bara.
Kanda ya Magharibi: Hapa ni wastani wa 7.1 wa idadi ya watoto kwa mwanamke katika kanda hii.
Kanda ya Kaskazini: Wastani ni 4.6 wa idadi ya watoto kwa mwanamke.
Kanda ya Kati: wastani ni 6.5 wa idadi ya watoto kwa mwanamke mmoja.
Nyanda za Juu Kusini: Hapa wastani ni 5.4 wa idadi ya watoto kwa mwanamke katika kanda hii.
Kanda ya Ziwa: Wastani ni 6.3 wa idadi ya watoto kwa mwanamke mmoja.
Kanda ya Mashariki: Hapa wastani 3.9 wa idadi ya watoto kwa mwanamke mmoja.
Kanda ya Kusini: Wastani ni 4.4 wa idadi ya watoto kwa mwanamke mmoja.
View attachment 277782
Grafu hii inaelezea wanawake walio kwenye ndoa, kati ya umri wa kuanzia miaka 15-49 wanaotumia njia za Kisasa za Uzazi wa Mpango kwa ulinganisho wa makazi ya mjini na vijijini.
Sehemu za Mjini: Asilimia 34 tu ya wanawake waliopo kwenye ndoa wa umri kati ya miaka 15-49 hutumia njia za kisasa za Uzazi wa mpango.
Sehemu za Vijijini: Asilimia 25 tu ya wanawake waliopo kwenye ndoa wa umri kati ya 15-49 hutumia njia za kisasa za uzazi wa mpango.
View attachment 277788
Grafu hapo juu inaelezea wastani wa idadi ya watoto kwa mwanamke katika maeneo ya mijini na vijijini, pamoja na Tanzania Bara na Visiwani.
Maeneo ya Mjini: Wastani wa idadi ya watoto kwa mwanamke ni 3.7
Maeneo ya Vijijni: Wastani uko juu kuliko mjini, unafikia 6.1 idadi ya watoto kwa mwanamke.
Eneo la Tanzania Zanzibar: Wastani wa idadi ya watoto kwa mwanamke ni 5.1.
Eneo la Tanzania Bara: Wastani wa idadi ya watoto kwa mwanamke ni 5.4.

- 1991-1992: Asilimia 7 tu ya wanawake kwenye ndoa ndio walikuwa wanatumia njia za kisasa za Uzazi wa Mpango
- 1996 : Kufikia mwaka 1996 idadi iliongezeka kwa asilimia 6 tu na kufikia 13%
- 1999 : Asilimia 17 ya wanawake walio kwenye ndoa wa miaka 15-49 ndio walikuwa wanatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango.
- 2004-05 : Asilimia 20 tu ya wanawake walio kwenye ndoa ndio walikuwa wanatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango
- 2010 : Kufikia mwaka 2010 ni asilimia 27 tu ya wanawake kwenye ndoa nchini Tanzania ndio walikuwa wanatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango.
View attachment 277736
Grafu hapo juu inaelezea, wanawake walio kwenye ndoa kuanzia umri wa miaka 15-49 na matumizi ya njia za kisasa za Uzazi wa Mpango. Grafu hii inaonyesha matumizi ya njia za uzazi wa mpango kwenye Kanda zote saba za Tanzania.
- Kanda ya Magharibi : Asilimia 15 tu ya wanawake walio kwenye umri wa miaka 15-49, ndio wanatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango.
- Kanda ya Kaskazini : Asilimia 39 ya wanawake walio kwenye umri wa miaka 15-49 ndio wanatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango.
- Kanda ya Kati. : Asilimia 27 tu ya wanawake walio kwenye ndoa wanatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango.
- Kanda ya Nyanda za Juu Kusini : Asilimia 34 ya wanawake waliopo kwenye umri wa miaka 15-49 ndio wanatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango.
- Kanda ya Ziwa : Asilimia 16 ya wanawake waliopo kwenye ndoa ndio hutumia njia za kisasa za uzazi wa mpango.
- Kanda ya Mashariki : Katika kanda hii asilimia 35 ya wanawake ndio hutumia njia za kisasa za uzazi wa mpango.
- Kanda ya Kusini : Kanda hii ndio inaongoza ikiwa na asilimia 40 ya wanawake walio kwenye umri wa miaka 15-49 hutumia njia za kisasa za uzazi wa mpango.
View attachment 277747
Grafu hapo juu inaelezea wastani wa idadi ya watoto kwa mwanamke kuanzia mwaka 1991-2010.
- 1991-1992: Kuanzia mwaka 1991 mpaka 1992 ni wastani wa 6.3 wa idadi ya watoto kwa mwanamke.
- 1996 : Mwaka 1996 wastani ulipungua kufikia 5.8 wa idadi ya watoto kwa mwanamke.
- 1999 :Hapa wastani ulifikia 5.6 wa idadi ya watoto kwa mwanamke mmoja.
- 2004-2005 :Mwaka 2004 mpaka 2005 wastani ulipanda tena na kufikia 5.7.
- 2010 : Mwaka huu wastani ulishuka mpaka 5.4.