Emmanuel Mwawela
New Member
- Sep 28, 2022
- 1
- 0
Kulingana na utafiti uliofanywa na WHO(world Health Organisation) mwaka 2010 kwa asilimia 12% magonjwa ya Moyo yalitoa visa vya VIFO takribani million 17.3 na inakadiliwa kwamba ifikapo mwaka 2030 kutakuwa navisa visivyopungua million 23.7 vya vifo vitokanavyo na magonjwa ya Moyo na mzunguko wa damu kiujumla mfano presha ya kupanda