Karina
Member
- Jun 17, 2011
- 51
- 16
Jamani hivi ingekuwa vip kama wanaweke nao wangepewa uwezo wa kutoa talaka kwa waume zao? cos unakuta mwanaume anamyanyasa sana mke wake na kila akiomba talaka yake hapewi wakati yeye mwanaume anajivinjari na wanawake wengine nje mwanamke hata msg ikikutwa tu kwenye simu ni balaa maana kipigo chake ni cha mbwa mwitu. Sasa mi huwa na jiuliza talaka hutaki kutoa, matumizi ndani hutoi kila kukicha wewe unabadilisha wanawake huku ni kumkomoa mwanamke au ni ubinafsi?????