Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Ile picha na kivazi vinamwonyesha mange kachokaaaa masikini....daaah
Mwenzangu acha tu.
Halafu wale wanafunzi wake wa vyuo (wengi ndio mashabiki zake) wanamsifia kapendeza.
Wanamtia ujinga hajui kama anachekwa.
 
Umenena, hata mimi nimfuatiliaji wa kichwapanzi kimya kimya. Hata mimi nimeona ana followers wengi sana ambao wako silent. But we see everything.
 
Mwenzangu acha tu.
Halafu wale wanafunzi wake wa vyuo (wengi ndio mashabiki zake) wanamsifia kapendeza.
Wanamtia ujinga hajui kama anachekwa.

Hahahaha kumbe ni kweli, I have always wondered kama wale wanao comment kwa Mange ni watu wazima wenye akili zao. Kumbe ni wanafunzi, no wonder they cant see through her lies!
 
Ila naona anazidi kujichoresha kubishana hovyo. Huu ndio mda mzuri kwake kuacha kuwa tegemezi nakusaka employment maana watoto ni wake pia. Asidhani mzigo wa mzungu pekee laasivyo atawabeba kimoja.

Ana new hobby sasa hivi ni kumuattack Zari tuu. Mfyuuu
 
Kumbe yeye na the so called mdogo wake walimshare Diamond.

Sintashangaa. Maana walianza kusema Diamond hana kizazi, Tiffa sio wake. Mara alikua anatembea na Kajala, mara huyo Irena tena ikaja ikawa Hamisa now wamerudi na huyo Irene ana mimba, mfyuuu Mange anatafuta pa kufia na alivyokauka kama kuni.
 
Wale wa dada wa mujini aliogombana nao sasa si hadhi yake tena.
 
Wale wa dada wa mujini aliogombana nao sasa si hadhi yake tena.

Lol! Na imagine sasa hivi wanavyocheka kwa dharau. The way she was attacking them, look who is now a laughing stock. Her friends ni hao wanafunzi wa vyuo wanao comment kwake. Akina Mwamvita, Kiki na Nacky have handled themselves with class. Mange is a ratchet!
 
Duuuuuh kazi wanayo sie silent viewers no like no commenting just enjoying..... kweli mange kiboko ya Binti Temu na KP
 
Nifah nitumie fekero lako PM tuwe tunastuana,kuna kichwa kinaitwa sema usikike IG ana kichambo kwa mange kichwapanzi chekechea kabisa...
 
Nifah nitumie fekero lako PM tuwe tunastuana,kuna kichwa kinaitwa sema usikike IG ana kichambo kwa mange kichwapanzi chekechea kabisa...
Nakutumia sweetheart, huyo simjui aiseee.
 
Insta wengi hupita kimya kimya kukwepa block mi kwa kichwapanzi hupta kimya kimya i need to create fekero aisee mana huwezi Ku comment huru ka jf
 
Insta wengi hupita kimya kimya kukwepa block mi kwa kichwapanzi hupta kimya kimya i need to create fekero aisee mana huwezi Ku comment huru ka jf
Mimi nilishaanzisha fekero zamaniiiii huu mwaka sasa.
Naenjoy tu ubuyu.
 
Hawajashare bwana...ni rumours tu.
Ukiniambia Mange anamtaka Diamond sawa...ila kutoka nae ni big NO!
wanadai yalitokea wakati wa Diamonds are forever. Mlimani City.
 
Hawajashare bwana...ni rumours tu.
Ukiniambia Mange anamtaka Diamond sawa...ila kutoka nae ni big NO!
Yani anatisha sijui kukonda gani utafikiria wale wa Somalia vitani wenye njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…