talaka inayotambuliwa na serikali haiandikwi kienyeji nyumbani bali hutolewa mahakamni. kama unataka kujua format yake nenda huko au subiri mwenye soft coppy yake atakuwekea hapa. la ina sehemu kama tarehe talaka ilipotolewa, jina la hakimu aliyeitoa, majina ya parties wote, idadi ya watoto waliopatikana katika ndoa, kiasi cha matunzo ya watoto kitakachochangiwa na baba, mahari iliyolipwa ilikuwa kiasi gani na kama baba anataka mahari yake irudishwe nk