Talent Is Better Than Education

Hoshea

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
5,420
Reaction score
3,772
bila ubishi wakuu hii ni kweli

today in our society people are blind, kila mtu anataka kuwa doctor, mhasibu, mgavi, engineer, lawyer, banker etc, tumesahau kuwa Mungu kadeposit somethings in us that would make us very great ............akina biligates walichanganya both elimu na vipaji ndo maana yakawa multi millionaires

pls Tell Me One Banker That Is Popular And Richer than Diamond, Messi, Oprah etc,
 
Just to start with, what's your talent mkuu Hoshea? and the professionally ni nani?

Kuna tofauti sana katika malengo ya maisha. Mtu kuwa fulani hutegemeana na mambo mbalimbal kama malezi, tabia, utashi, tamaa, mazingira n.k

Katika nchi za kiafrika, elimu(kwa asilimia) kubwa ndiyo yenye kukupa mwanga wa maisha.Ingawaje kwa siku(miaka) za hivi karibuni mambo mengine pia yameweza kuwasaidia vijana. mf muziki, michezo, uigizaji n.k

Lakini hapa nadhani unachanganya vitu hivi
KUJULIKANA/FAME na KUFANIKIWA/SUCCESSFUL na kuridhika(Satisfaction).

Si watu wote wenye kutaka huo utajiri unaouongelea/kuufikiria.So unaweza kuridhika kwa kuwa na elimu au kipaji chako.

Hata hivyo, makundi yote intellectuals na wale wasio kuna ushindaki.Cha muhimu ni kuwa mzuri(good) katika kile ufanyacho.
 
Last edited by a moderator:
Yah nakubaliana nawe mkuu 100%, hapa nilipo kuna jamaa mmoja kwa nje kidogo ni artist, unaenda na sh 5000 anachora portrait yako. Kuna watalii wengi maeneo haya near the hotel utakuta wamejaa pale balaa. The guy i'm sure makes above 300K a day, kwa kipaji chake alone
 

Hapo kwenye Diamond nahisi umekurupuka,, nina imani wapo bankers wanaomzidi diamond kila kitu,, unajua Charles Kimei ni banker by proffessional?
 
yah for real kuwa the best kwenye kila unachofanya hiyo nayo inakuwa poa sana, kuna wasio na talents lkn wamelazimisha hadi they're the best kushinda wale wenye talents, thanks kwa wazo
 
Nadhani kuna mambo unachanganya sehemu fulani..., Kipaji Vs Elimu... !!!

Education can be acquired but you can't teach talent.., By the way someone with Talent if educated will be a much better and more rounded person.. Therefore kila kitu kina nafasi yake.., By the way to be educated does not mean you have to go to college even learning from your friends and colleague or by observing is education..

By the way you mentioned Bill Gates.. (what talent did he had..) when you talk about talent its people Like Messi, Bob Marley, Diamond, Artists, Wachonga vinyago, watangazaji n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…