Taliban wameruhusu elimu ya juu kwa wanawake ila sharti wavae nguo za staha

Taliban wameruhusu elimu ya juu kwa wanawake ila sharti wavae nguo za staha

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
5,262
Reaction score
12,855
Women in Afghanistan can continue to study in universities, including at postgraduate levels, but classrooms will be gender-segregated and Islamic dress is compulsory, the higher education minister in the new Taliban government has said.

The minister, Abdul Baqi Haqqani, laid out the new policies at a news conference, several days after Afghanistan's new rulers formed an all-male government. On Saturday, the Taliban had raised their flag over the presidential palace, signalling the start of the work of the new government.

The world has been watching closely to see to what extent the Taliban might act differently from their first time in power, in the late 1990s. During that era, girls and women were denied an education and were excluded from public life.

The Taliban have suggested they have changed, including in their attitudes toward women. However, women have been banned from sports and the Taliban have used violence in recent days against women protesters demanding equal rights.

#DawnToday

Screenshot_20210912-133826_Facebook.jpg
 
Hizi dini za jangwani zina matatizo sana, wamejaa mawazo ya mapenzi kiasi kwamba hawaamini mwanamke na mwanaume wanaweza kusoma au kukaa pamoja bila kuchikuchi hotae.
Hata mtume alikuwa hana uvumilivu kwenye hili

Alikuwa hapitwi na skirt kabisa Hadi alioa mtoto wa miaka 7 Sasa hawataki kuunga mkono juhudi
 
Watu wazima na akili zao eti wanakaa kuchunga "Genitalia" za watu wengine katika dunia hii ya sasa ambapo watu wanaopaswa kuwa huru, kweli hiyo ni akili.

Wako sahihi, ndiyomaana uwezi kuta wasichana wakipigwa mimba mashuleni ama kubakwa kama huku kwa umatumbini.
 
Kwanini wanawaza mapenzi tu; haya ni mawazo ya kale sana kwamba ktk ulimwengu huu hawaamini kuwa mwanamke na mwanaume wanaweza kufanya jambo tofauti na ngono?
 
....... lakini bado watu wengi wanataka waukimbie huo utawala.

Hilo clijui,, But anaejitambua na kumhofu Mungu hawezi kuondoka sababu ya sharia ya kiisilamu. Labda kama hali ya kiuchumi.
 
Kila mtu atawale anavojisikia nyie mbona CCM wanawaswaga kama ng'ombe machungani bado mpo kimya.
 
Kila mtu atawale anavojisikia nyie mbona CCM wanawaswaga kama ng'ombe machungani bado mpo kimya.
Ukitaka kumtawala mtu mweusi muachie Ngono.
Sioni tafauti chama chetu na cha Taalibani, isipokuwa kutiana
 
Hizi dini za jangwani zina matatizo sana, wamejaa mawazo ya mapenzi kiasi kwamba hawaamini mwanamke na mwanaume wanaweza kusoma au kukaa pamoja bila kuchikuchi hotae.
Wewe mwenyewe huamini kama inawezeka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom