Talwa

embu funguka kidogo uweze kueleweka basi
 
Atakua anamaanisha TAWLA - ( Tanzania Women Lawyers Association)
Wako Ilala Sharif Shamba.
Unataka kumshtaki nani mpenzi?
 
Kama unamaanisha Halwa, ipo pale mtaa wa Sikukuu kati ya Pemba na Mchikichi, karibu na Durban Hotel. Ukifika uliza kwa Gidemi msonga halwa. Ushindwe mwenyewe.
 
he nimekosea wapenzi kumbe ni tawla,mume ananipelekesha sana nimechoka nimemvumilia sana

We dada huyo jamaa yako ambaye uliwahi kusema hapa kuwa ni kimeo balaa bado unaye tu??:shock::shock::shock:
 
Tawla hawana ubaguzi wewe nenda ilala Bungoni kama sikosei jumatatu na jumatano wanatoa ushauri wa kisheria,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…